KISWAHILI NA UTANDAWAZI

500.00KSh

Kiswahili na Utandawazi ni kitabu chenye makala zinazohusu mada kama vile utandawazi na lugha ya Kiswahili, matumizi ya Kiswahili katika vyombo vya habari, sarufi ya Kiswahili, fasihi ya watoto, fasihi ibuka, hadithi fupi za Kiswhaili, habari za lugha katika mitandao ya kijamii na mielekeo kuhusu lugha.

Category:

Description

Inatarajiwa kwamba yale yaliyoandikwa katika kitabu hiki yatamzindua msomaji ili aweze kuona jinsi lugha ya Kiswahili inavyofungamana na Maswali nyeti, mpya na ya kimaendeleo katika maisha ya binadamu. Ni kitabu muhimu kwa wanafunzi na walimu wa Kiswahili wanotaka kujua kuhusu mtagusano baina utandawazi na lugha ya Kiswahili.

“……Kiingereza hakiwezi kuwa lugha ya wananchi wa Afrika Mashariki kwa mshikamano wa haki baina ya wale wakio na elimu ya chini au na wale wasiowahi kwenda shuleni. Kwa kutumika Kiiingereza wananchi wengi wanawekwa nyuma katika uteklezaji wa kujenga nchi.”

-Said Ahmed Mohamed.